Updated Sep 24, 2025 ยท v9.8
Muongozo wa Kujifunza Biblia kwa Watu Wazima
Pata masomo yote ya muongozo wa kujifunza Biblia kwa watu wa wazima kwa robo zote nne. App hii ni rahisi kutumia na imesheni vipengele mbali mbali ambavyo vitakufanya ufurahie pale unapojifunza. Vipengele vya App Hii. 1. Chaguo za Lugha 2. Mistari ya Biblia 3. Majadiliano ya Kikundi 4. Sehemu ya Sauti Programu hii ni huduma inayojitegemea inayounga mkono misheni ya Kanisa la SDA, hata hivyo si sehemu ya, kuhusishwa, au kuungwa mkono na Mkutano Mkuu wa Kanisa la SDA.
3 years on Google Play
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.