Updated Jul 15, 2026 Ā· v1.0.12
Endesha duka lako: mauzo, stock, madeni, matumizi na ripoti + Mzee hekima.
Karanista ni programu kamili ya kuendesha biashara yako ā kwa Kiswahili/ English na hata bila mtandao. Iwe una duka la reja reja, biashara ya huduma (fundi, saluni, gereji), uzalishaji, kukodisha vifaa, au wewe ni winga (broker) ā Karanista imetengenezwa kwaajili yako. VIPENGELE VIKUU ⢠Mauzo (POS): uza haraka na utoe risiti za PDF. Pokea cash, M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na kadi kupitia KaranistaPay. ⢠Stock & Bidhaa: fuatilia hisa, bei za manunuzi na mauzo, vipimo vya vifurushi (kartoni/mfuko), na upate tahadhari ya bidhaa zinazokaribia kuisha. ⢠Madeni: simamia wateja unaowadai, alama za uaminifu, ahadi za malipo na kumbukumbu kamili. ⢠Matumizi: rekodi gharama zote na uone faida yako halisi. ⢠Manunuzi & Wasambazaji: weka manunuzi yako na tunza orodha ya wasambazaji. ⢠Takwimu & Ripoti: ona mapato, faida na mwelekeo wa biashara kwa siku, wiki, mwezi au mwaka. ⢠Cash Book: fuatilia pesa taslimu zinazoingia na kutoka. ⢠Wasaidizi: ongeza wafanyakazi na uwape ruhusa unazochagua wewe ā nani aone faida, aongeze bidhaa, afute rekodi na zaidi. ⢠Mzee Hekima (AI): msaidizi wako wa akili bandia ā uliza swali, pata ushauri wa biashara na utengeneze matangazo. ⢠Akiba ya Mteja: panga malipo ya awamu kwa wateja wako. ⢠Ujumbe kwa Wateja: tuma SMS za ukumbusho wa madeni na matangazo. KWA KILA AINA YA BIASHARA ⢠Huduma: fungua kazi, panga mafundi, fuatilia muda wa kazi, dhamana (warranty) na kamisheni. ⢠Uzalishaji: fuatilia malighafi, uzalishaji na gharama halisi za bidhaa. ⢠Kukodisha: simamia vifaa, booking, dhamana na malimbikizo ya kurudisha. ⢠Winga: unganisha maduka, tafuta bidhaa na upate kamisheni. USALAMA WA TAARIFA Taarifa zako zimehifadhiwa salama kwenye cloud, zinasawazishwa moja kwa moja kwenye simu zako, unaweza kutumia simu zaidi ya moja na hata ukibadilisha simu taarifa zako zinabaki palepale zinakusubiri. Anza leo ā Tumia bure kwa siku 7.
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.