Tamu Tamu

Tamu Tamu

Swadik

Available on Google Play
4.6(936)
10,000+ installsFreeEntertainment

Updated Nov 29, 2025 · v1.0.1

CompareView on Google Play
Screenshot 1
Screenshot 2
Screenshot 3
Screenshot 4

Tamu Tamu – Maudhui bora ya simulizi na hadithi za Kiswahili.

Tamu Tamu ni app ya burudani yenye mkusanyiko wa maudhui ya Kiswahili kama simulizi, visa, hadithi fupi, mashairi, mafundisho na makala mbalimbali. Lengo kuu ni kutoa usomaji wa kuvutia, rahisi na wa haraka kwa watumiaji wote wanaopenda maudhui ya lugha ya Kiswahili. App hii haitumii mfumo wa akaunti, hivyo hutakiwi kujisajili wala kutoa taarifa zako binafsi ili kufurahia yaliyomo. Unafungua tu na kuanza kusoma papo hapo. Vipengele Muhimu: 📚 Simulizi mbalimbali za kuvutia ✍️ Hadithi fupi na visa 📝 Makala na masimulizi ya kila siku 🌙 Mode ya usomaji rahisi & Dark Mode 🔎 Utafutaji wa chapisho kwa urahisi 💾 Hakuna kujiandikisha – tumia mara moja bila akaunti. Tamu Tamu imeundwa kwa ajili ya msomaji wa Kiswahili anayetaka burudani, elimu na usimulizi murua katika sehemu moja. Pakua sasa na uanze safari ya kusoma maudhui matamu kila siku!

Released
November 26, 2025

0 years on Google Play

Version
1.0.1
Updated
Nov 29, 2025
Content Rating
Everyone
Installs
10,000+
Developer
Swadik
Website
N/A
Email
abubakarifaraji84@gmail.com
In-app purchases
No

This app isn't currently appearing in any tracked top charts.

Rating breakdown

5
774
4
64
3
32
2
32
1
32