Updated Nov 17, 2025 Β· v1.0.0
Dhibiti oda, bidhaa, na mauzo ya duka lako kwa urahisi popote ulipo.
Bakary Shop β Seller App ni programu iliyotengenezwa mahsusi kwa wauzaji wanaotaka kusimamia biashara zao kwa wepesi na ufanisi zaidi. Imeunganishwa na mfumo wa Bakary, hivyo hukupa uwezo wa kufuatilia kila kituβkuanzia bidhaa, oda, hadi mauzoβmuda wowote na mahali popote. Vipengele Vikuu: π Pokea na simamia oda β ona oda mpya, kubali, badilisha hali ya oda, au kukamilisha kwa urahisi. π¦ Simamia bidhaa β ongeza, hariri, au ondoa bidhaa zako kwa dakika chache. π΅ Fuatilia mauzo β pata muhtasari wa mauzo yako ya kila siku, wiki, au mwezi. π Arifa za papo hapo β usikose oda mpya au mabadiliko yoyote muhimu. π€ Wasifu wa duka β hariri taarifa za duka lako na boresha muonekano kwa wateja. π Inafanya kazi sambamba na Bakary POS β unaweza kusawazisha taarifa bila usumbufu. Kwa nini utumie Bakary Shop β Seller App? Ni rahisi, salama, na imetengenezwa kukupa udhibiti kamili wa duka lako. Ikiwa wewe ni muuza katika mtandaoni au nje ya mtandao, Bakary Shop Seller App hukurahisishia kazi na kukuongezea ufanisi.
0 years on Google Play
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.