Updated Oct 25, 2025 ยท v1.2.1
Swahili bible, biblia takatifu ya kiswahili, habari njema kwa watu wote
Biblia, Habari njema kwa watu wote. Utapata kusoma biblia kwa kiswahili. Biblia hii imeandikwa kwa lugha inayoeleweka na wote kwa kiswahili. Utapata vitabu zote pamoja sura zake na kurasa pia. Ni rahisi sana kuweka alamisho kwa biblia hii, ili uweze kusoma wakati mwingine ujao. Ukitaka pia kutafuta maandiko yoyote katika biblia, imerahisishwa kwa programu hii. Karibu sana..
2 years on Google Play
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.