Updated Nov 19, 2025 ยท v1.0.0
Buy And Sell
Bongodili ni app ya biashara mtandaoni inayokuwezesha kununua na kuuza bidhaa mbalimbali kwa urahisi. App hii imeundwa kurahisisha mawasiliano kati ya wauzaji na wanunuzi kupitia simu. Sifa Kuu Weka tangazo la bidhaa kwa hatua chache Tazama bidhaa zilizowekwa na watumiaji wengine Pata bidhaa kulingana na eneo ulipo Mawasiliano ya moja kwa moja kati ya muuzaji na mnunuzi Picha na maelezo ya bidhaa yanayokusaidia kufanya maamuzi Bidhaa Unazoweza Kuuza au Kununua Simu na vifaa vyake Vifaa vya nyumbani Magari na pikipiki Mali na nyumba Mavazi na viatu Electronics na vifaa vingine Jinsi Inavyofanya Kazi 1. Pakua app 2. Fungua akaunti 3. Weka tangazo la bidhaa 4. Subiri wanunuzi wakupigie au kukutumia ujumbe Bongodili inalenga kurahisisha biashara kati ya watu wanaouza na wanaotafuta bidhaa katika maeneo mbalimbali.
0 years on Google Play
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.