Updated Aug 26, 2025 ยท v1.0.4
Udaku wa kisasa, habari motomoto na vipengele vya kipekee vya burudani papo hapo
Karibu kwenye Lokole โ App ya Udaku Na Habari Motomoto! Lokole ni kitovu cha habari za udaku, matukio ya burudani, na taarifa motomoto zinazokujia moja kwa moja kutoka kwa vyanzo vya kuaminika na vya papo kwa papo. Vipengele Muhimu: Udaku wa wasanii na watu mashuhuri Habari mpya za burudani kila siku Uthibitishaji kwa OTP (One-Time Password) kwa usalama zaidi Muonekano mzuri na uliozoelewa Usalama na Faragha: Tunathamini usalama wa taarifa zako. Tazama Sera yetu ya Faragha kujua zaidi. Jiunge na maelfu ya watumiaji wa Lokole leo na usipitwe na yanayojiri katika ulimwengu wa burudani!
1 year on Google Play
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.