Updated Jul 26, 2026 ยท v5
Fahamu namna ya kuswali na dua zake - Utajifunza jinsi ya kuswali katika uislam
App hii ya namna ya kuswali na dua zake inakuwezesha kujifunza namna au jinsi ya kuswali swala tano yaani Subuh, dhuhuri, Ishaa na magharib pamoja na dua zake, hatua kwa hatua ikiwemo msaada wa sauti kwa kila dua unayotakiwa kusoma wakati wa swala.
0 years on Google Play
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.