FabiEvents

FabiEvents

Fabian Nyarubamba

Available on Google Play
100+ installsFreeEvents

Updated Mar 28, 2026 Ā· v1.7.0

CompareView on Google Play ↗
Screenshot 1
Screenshot 2
Screenshot 3
Screenshot 4
Screenshot 5
Screenshot 6
Screenshot 7
Screenshot 8
Screenshot 9
Screenshot 10
Screenshot 11
Screenshot 12
Screenshot 13
Screenshot 14

Fabievents ni mfumo ambao unasaidia katika mandalizi ya sherehe

Fabievents ni mfumo ambao unasaidia katika mandalizi ya sherehe kama Harusi, Sendoff , Kitchen Party na nyinginezo kupitia online. Mambo makubwa na mazuri utayapata ndani ya Fabievents. • Bajeti :- Inarahisisha kuanda bajeti ya sherehe huna haja yakumiza kichwa na mahesabu au kutumia kikokotozi. • Ujumbe :- Automated bulksms inawakumbusha wajumbe vikao na michango, ujumbe unaenda na jina la mpokeaji. Pia nakulingana na matumizi yako marangapi kwa wiki. • Ahadi :- Inasaidia kuweka taarifa za wote pamoja na kila mjumbe kiasi gani alichoahidi, alicholipa na balance yake. • Kadi :- Inasaidia kujua nani nan ani anastahili kupewa kadi ya single au double ama hana sifa kulingana na mchango wake aliotoa. • Watoa huduma za sherehe :- kama MC,kumbi, mapambo, keki, chakula, picha na video wote wanaruhusiwa kujitangaza free

Released
November 16, 2024

1 year on Google Play

Version
1.7.0
Updated
Mar 28, 2026
Content Rating
Everyone
Installs
100+
Developer
Fabian Nyarubamba
Website
https://www.fabievents.com/
Email
fnyarubamba@gmail.com
In-app purchases
No

This app isn't currently appearing in any tracked top charts.

Rating breakdown

5ā˜…
0
4ā˜…
0
3ā˜…
0
2ā˜…
0
1ā˜…
0