Updated Mar 1, 2026 ยท v1.0.4
FUNDI: Onyesha kazi zako, pata maombi ya kazi, ongeza kipato chako.
FundiSmart Pro ni jukwaa la MAFUNDI na watoa huduma kukuza biashara yako, kupata kazi/tenda, na kupokea maombi ya moja kwa moja kutoka kwa WATEJA wanaohitaji ujuzi wako. Iwe ni FUNDI umeme, bomba, rangi, seremala, mechanic, au fundi yeyote mwenye ujuzi โ FundiSmart Pro inarahisisha: โ Kupokea Maombi/Booking Moja kwa Moja โ Wateja wanaweza kukuomba huduma na kukupa kazi kwa urahisi ndani ya app. โ Kupata Kazi/Tenda Haraka โ Ona na omba kazi mara tu zinapotangazwa. โ Kupata Wateja Zaidi Karibu yako โ Panua wigo wako na ongeza kipato. โ Taarifa za Papo Hapo kukiwa na kazi โ Usikose kazi, tenda au booking yoyote. โ Profile ya Kitaalamu โ Onyesha ujuzi, uzoefu na huduma zako ili wateja wakuamini. (Weka picha wateja waone kazi zako). โ Jamii ya Mafundi na Wataalamu โ Jifunze pamoja, shirikiana, na pata suluhisho la changamoto za ufundi ukikwama uliza upate msaada. โ FundiSmart Forum โ Sehemu ya mafundi, wateja, wadau na wataalamu kushirikiana maarifa, kuuliza maswali na kugundua fursa mpya. โ Rekodi/Kumbukumbu โ Fuatilia mapato, wateja na kazi zako kwa urahisi ndani ya app. FUNDI ukiwa na FundiSmart Pro, huhitaji tena kusubiri kupewa kazi kwa bahati au maneno ya watu. App hii inakuunganisha moja kwa moja na wateja wanaotafuta fundi wa kuaminika haraka. ๐ Onekana. Pata Wateja. Ongeza Kipato. Kua Kitaalamu โ Pakua FundiSmart Pro leo.
1 year on Google Play
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.