MaishaForum

MaishaForum

Zeno Limited

Available on Google Play
10+ installsFreeSocial

Updated Nov 21, 2024 · v1.0.0

CompareView on Google Play ↗
Screenshot 1
Screenshot 2
Screenshot 3
Screenshot 4
Screenshot 5
Screenshot 6

Mahali pa kujadili mada za maisha na kupata fursa za biashara na ujasiriamali.

MaishaForum.com ni jukwaa la kisasa lililobuniwa kwa ajili ya kuwaleta pamoja Watanzania na watu wote wanaotumia lugha ya Kiswahili kutoka pande zote za dunia. Hapa, unaweza kujadili mada mbalimbali za maisha kama vile, saikolojia, biashara, uchumi, ujasiriamali, teknolojia, intaneti, mitandao ya kijamii, elimu, ajira mpya, tenda, mahusiano, mapenzi, urafiki, familia, malezi, mapishi, kilimo, ufugaji, uvuvi, sanaa, ubunifu, vyombo vya usafiri, burudani, afya, na mengine mengi. Pia inakupa nafasi ya kutangaza biashara yako kupitia categoria yetu ya Uza au Nunua. Kwa hakika MaishaForum.com imejidhatiti kumuunga mkono mjasiriamali. Kupitia MaishaForum.com, tunakuunganisha na jamii kubwa ya watu wenye mawazo tofauti, fursa, na maarifa. Lengo letu ni kukuza utamaduni wa kuwaongezea watu ufahamu na maarifa kwa kuwapa watumiaji wetu nafasi ya kushirikiana, na kubadilishana mawazo kwa uhuru. Sifa Muhimu za MaishaForum.com: - ⁠Majadiliano ya Kipekee: Shiriki mijadala ya wengine na upate suluhisho la changamoto zako. Chagua mada unayopenda na shiriki kwa kadri ya uelewa na ujuzi wako. - ⁠Urahisi wa Matumizi: Jukwaa letu limeundwa kuwa rahisi kutumia kwa kila mtu. -⁠ ⁠Fursa za Kujifunza: Pata maarifa mapya kupitia mijadala yenye manufaa na elimu. Jiunge leo na uwe sehemu ya jamii kubwa ya kidijitali inayokwenda na wakati! Karibu MaishaForum.com – Uliza, Jadili na Ujifunze!

Released
November 20, 2024

1 year on Google Play

Version
1.0.0
Updated
Nov 21, 2024
Content Rating
Teen
Installs
10+
Developer
Zeno Limited
Website
https://maishaforum.co.tz
Email
md@zeno.co.tz
In-app purchases
No

This app isn't currently appearing in any tracked top charts.

Rating breakdown

5★
0
4★
0
3★
0
2★
0
1★
0