Updated Jul 29, 2026 ยท v16
Sikiliza mawaidha ya kiislamu kiswahili audio kutoka kwa mashekhe
App hii inakuwezesha kusikiliza mawaidha ya kiislamu audio kwa kiswahili kutoka kwa mashekhe mbalimbali kama maalim Othman, Sheikh Nurdin Kishk, n.k Pia utaweza kusikiliza khutba za ijumaa kutoka kwa Masheikh kama Sheikh kombo ally fundi , sheikh hassan ahmed, sheikh mazinge, sheikh kipozeo, Sheikh Othman maalim, sheikh hafidh, pamoja na sheikh nahman musa, sheikh shafii
0 years on Google Play
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.