Updated Dec 15, 2025 ยท v1.2.0
Ngole Store ni app ya e-commerce inayokuwezesha kuvinjari bidhaa
Ngole Store ni app ya e-commerce iliyotengenezwa ili kurahisisha mchakato wa ununuzi kwa kutumia simu. App hii inawawezesha watumiaji kuangalia bidhaa mbalimbali, kupata maelezo ya bidhaa, na kufanya oda kwa urahisi popote walipo. Kupitia Ngole Store, mtumiaji anaweza kuvinjari bidhaa kulingana na makundi, kuona bei na maelezo muhimu ya kila bidhaa, pamoja na kuongeza bidhaa kwenye kikapu kabla ya kufanya oda. App pia inatoa njia rahisi ya kusimamia oda zako na kufuatilia hali ya manunuzi yako. Ngole Store imeundwa kwa muonekano rahisi kutumia, unaofaa kwa watumiaji wa aina zote. Lengo lake ni kusaidia wauzaji na wanunuzi kuwasiliana kwa njia ya kidijitali na kufanya biashara kwa urahisi kupitia simu. Vipengele vya app: Uvinjari wa bidhaa kwa makundi Maelezo ya bidhaa pamoja na bei Kikapu cha manunuzi (cart) Uwekaji na usimamizi wa oda Muonekano rahisi na unaoeleweka Ngole Store ni suluhisho la kidijitali kwa biashara na manunuzi ya kila siku kupitia simu ya mkononi
0 years on Google Play
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.