Nyimbo za Asili

Nyimbo za Asili

M1 Technologies

Available on Google Play
1,000+ installsFreeMusic & Audio

Updated Sep 3, 2025 ยท v1.0

CompareView on Google Play โ†—
Screenshot 1
Screenshot 2
Screenshot 3
Screenshot 4
Screenshot 5
Screenshot 6

Pata nyimbo za asili na mambo mbalimbali yanayohusu utamaduni wa kiafrika

Nyimbo za Asili ni app maalum inayokuletea hazina ya nyimbo za kitamaduni kutoka kwa kabila la Wasukuma pamoja na makabila mengine mbalimbali ya Tanzania. Kupitia App hii, utapata fursa ya kusikiliza, kujifunza na kufurahia nyimbo za jadi zilizojaa historia, mafundisho, na Ladha halisi ya muziki wa Kiafrika. Nyimbo za Asili hii inalenga kuhifadhi na kuendeleza urithi wa kitamaduni kwa vizazi vya sasa na vijavyo. Iwe unataka kurudia kumbukumbu za utotoni, kujifunza kuhusu mila na desturi, au kufurahia sauti za ngoma za asili โ€” hapa ndipo mahali pake. Vipengele Muhimu: โ€ข Nyimbo mbalimbali kutoka kwa Wasukuma na makabila mengine kutoka Tanzania. โ€ข Muundo rahisi kutumia. Pakua sasa Nyimbo za Asili na uendelee kuwa karibu na mizizi yako ya Kitanzania kupitia muziki wa asili!App hii ni zaidi ya muziki โ€“ ni daraja la kizazi kipya kuelekea kwa mizizi yake. Ni njia ya kufufua na kuenzi utambulisho wetu wa Kitanzania kupitia sauti, midundo na mashairi yaliyobeba mafunzo ya kijamii, imani, na mshikamano. I Nyimbo za Asili kiwa umekulia kijijini ukisikiliza nyimbo za ngoma, au upo mjini na unakosa ladha ya nyumbani โ€“ Nyimbo za Asili App ni kwako. Iwe unasafiri, uko kazini au nyumbani โ€“ tembea na utamaduni wako mfukoni. Pakua leo, tambua mizizi yako, na urudie nyimbo za zamani zenye thamani isiyoisha.

Released
September 3, 2025

0 years on Google Play

Version
1.0
Updated
Sep 3, 2025
Content Rating
Everyone
Installs
1,000+
Developer
M1 Technologies
Website
http://www.malunde.com/
Email
kmalunde@gmail.com
In-app purchases
No

This app isn't currently appearing in any tracked top charts.

Rating breakdown

5โ˜…
0
4โ˜…
0
3โ˜…
0
2โ˜…
0
1โ˜…
0