Updated Feb 28, 2026 ยท v1.0.9
Kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya tanzania kila siku asubuhi na mapema
Magazeti Tanzania ni app inayokuwezesha kupitia magazeti kiganjani mwako kujua taarifa zilizoandikwa katika magazeti yote ya tanzania , pia itawasaidia wale wanunuzi wa magazeti kujua habari na kilichoandikwa katika magazeti kabla yakutoka nakwenda kununua
2 years on Google Play
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.