Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia

Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia

850418082

Available on Google Play
10,000+ installsFreeBooks & Reference

Updated Jun 3, 2026 ยท v1.0.1

CompareView on Google Play โ†—
Screenshot 1
Screenshot 2
Screenshot 3
Screenshot 4
Screenshot 5
Screenshot 6
Screenshot 7
Screenshot 8
Screenshot 9
Screenshot 10
Screenshot 11
Screenshot 12
Screenshot 13
Screenshot 14
Screenshot 15
Screenshot 16

Novena ya Mt. Rita Wa Kashia: Sala ya siku 9 na Sala ya masaa 15 kila saa.

Novena ya Mt. Rita wa Kashia ni programu ya kiroho iliyoundwa mahsusi kwa wakristo na watu wote wanaotamani kuimarisha maisha yao ya sala. Kupitia programu hii, unaweza kufurahia na kushiriki ibada maarufu za Mt. Rita, anayejulikana sana kama mtakatifu wa mambo yasiyowezekana. Programu hii inajumuisha novena mbili kuu ambazo zimekuwa msaada mkubwa kwa waamini wengi duniani: โœจ Novena ya siku 9 Hii ni sala inayosaliwa kwa siku tisa mfululizo. Kila siku kuna sala maalum, tafakari, na nia za sala ambazo zinaongoza mwamini kumkaribia Mungu kwa njia ya Mt. Rita. Kupitia novena hii, unaweza kuomba neema, nguvu, uponyaji na faraja katika changamoto za maisha yako ya kila siku. โœจ Novena ya masaa 15 Hii ni sala ya pekee inayosaliwa kila baada ya saa moja kwa muda wa masaa kumi na tano mfululizo. Kila saa unapata sala na tafakari maalum, zikikusaidia kuendelea katika mwendelezo wa maombi ya kina, yakikupeleka hatua kwa hatua katika ukaribu na Mungu. Sala hii imekuwa chanzo cha miujiza na majibu kwa watu wengi waliyoisali kwa imani.

Released
September 12, 2025

1 year on Google Play

Version
1.0.1
Updated
Jun 3, 2026
Content Rating
Everyone
Installs
10,000+
Developer
850418082
Website
https://ravensapps.com
Email
info.ravensconssulting@gmail.com
In-app purchases
No

This app isn't currently appearing in any tracked top charts.

Rating breakdown

5โ˜…
0
4โ˜…
0
3โ˜…
0
2โ˜…
0
1โ˜…
0