Updated Jul 30, 2026 ยท v10
App ya kusikiliza taarabu mpya na taarab za zamani - Furahia taarab mpya popote
Ni app nzuri ya kusikiliza taarabu mpya na zile taarab za zamani. Kama wewe ni mpenzi wa taarab basi kupitia app hii utaweza kusikiliza muziki wa mwambao wenye mahadhi ya zanzibar yaan taarab (tarabu) mpya na hata zile za zamani zilizopendwa.. Furahia utamaduni halisi wa kiswahili kupitia muziki huu wa taarabu (taarab)
0 years on Google Play
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.