Updated Feb 9, 2026 ยท v1.0.4
Songwe Serikali Kiganjani
Mkoa wa Songwe unawakaribisha Wananchi wote kujiunga na Mfumo wa pamoja ambao unachochea upatikanaji wa fursa za kiuchumi,Mikopo, Biashara, Mafunzo na Ajira, pia kupitia Mfumo huu utajenga matumaini na kuwaunganisha wananchi haswa Makundi ya Vijana kuanzia ngazi ya Kijiji/Mtaa, Kata, Wilaya, Mkoa hadi Taifa
0 years on Google Play
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.