Updated Jun 2, 2024 · v1.1.2
Download hiki kitabu cha Tumaini Kuu, toleo la mwisho la kiswahili.
Kitabu cha Tumaini Kuu, toleo la kiswahili kama lilivyo tafasiliwa kutokea toleo la Kingeleza; Great Hope. Hiki ni kitabu cha Tumaini kuu ambacho kimewekwa katika mfumo wa application ya simu, mtumiaji ataweza kusoma bila hata ya kuwa na internet (offline application). Kupitia hiki kitabu cha Tumaini kuu. Utaelewa uchunguzi unaobainisha ukweli wa pambano kati ya wema na ubaya pamoja na mshindi wake.
5 years on Google Play
This app isn't currently appearing in any tracked top charts.