Sala na Maombi ya Kweli

Sala na Maombi ya Kweli

Sachatech Ltd

Available on Google Play
100,000+ installsFreeLifestyle

Updated Sep 25, 2025 · v9.8

CompareView on Google Play
Screenshot 1
Screenshot 2
Screenshot 3
Screenshot 4
Screenshot 5
Screenshot 6

Jiweke Karibu na Mungu Kupitia Sala, Ibada na Maombi Yenye Mafanikio Kiroho

Jiunge na maelfu ya Wakristo ulimwenguni wenye uzoefu mkubwa wa Imani iliyo ya kweli katika kukuza na kuendeleza Imani yako katika Kristo kwa kutumia App hii. App hii inakuweza/itakuwezesha kufanya yafuatayo; 1. Kujifunza namna njema ya kusali/kuomba sala/maombi yenye mafanikio katika maisha yako ikiwepo kuombea mambo mbalimbali kama vile:- ✔Ndoa/Mahusiano ✔Kazi ✔Msamaha ✔Masuala ya kifedha ✔Uponyaji ✔Nguvu za giza na mengine mengi. 2. Kujifunza visa mbalimbali vya Biblia vitakavyoweza kukusaidia kukua kiroho na kiimani. 3. Kujifunza unabii na maana ya aya/mafungu mafungu katika Biblia. 4. Kujifunza mafundisho mbalimbali ndani ya Biblia kama vile:- ✔Uponyaji ✔Upendo ✔Msamaha ✔Ufufuo ✔Ndoa/Mahusiano ✔Imani nakadhalika 5. Kujifunza namna ya kufanya ibada inayokubalika mbele za Mungu. Mbali na hayo yote App hii inakupatia/itakupatia nafasi ya kupata nyimbo zote za vitabuni (nyimba za ibada) kama vile:- ✔Nyimbo za Injili ✔Tenzi za Rohoni ✔Nyimbo za Wokovu ✔Nyimbo za Ibada ✔Mwimbieni Bwana ✔Nyimbo za Kristo ✔Nyimbo za Imani Yetu ✔Nyimbo za Wasanii Mbalimbali VIPENGELE MUHIMU KATIKA APP HII; 1. Sala na Maombi 2. Ibada Kila Siku 3. Visa vya Biblia 4. Gunduzi Muhimu 5. Unabii 6. Nyimbo za Ibada 7. Mafundisho ya Biblia NOTE: App hii ni mahususi na maalum kwa Wakristo wote ulimwenguni. Pakua App hii na ujifunze ukuu wa Mungu katika maisha yako ya kila siku.

Released
February 24, 2024

2 years on Google Play

Version
9.8
Updated
Sep 25, 2025
Content Rating
Everyone
Installs
100,000+
Developer
Sachatech Ltd
Website
https://sachatechgroup.blogspot.com
Email
sachatechgroup@gmail.com
In-app purchases
No

This app isn't currently appearing in any tracked top charts.

Rating breakdown

5
0
4
0
3
0
2
0
1
0