Nyimbo Za Sifa Hymnal

Nyimbo Za Sifa Hymnal

spk

Available on Google Play
10,000+ installsFreeBooks & Reference

Updated Jan 19, 2026 ยท v1.4

CompareView on Google Play โ†—
Screenshot 1
Screenshot 2
Screenshot 3
Screenshot 4
Screenshot 5

A collection of powerful Christian praise songs for worship and devotion.

Nyimbo Za Sifa ni app yenye mkusanyiko wa nyimbo 185 kutoka katika kitabu cha Nyimbo Za Sifa, zote kwa lugha ya Kiswahili. App hii imeundwa ili kukuwezesha kumsifu na kumwabudu Mungu kupitia uimbaji, ukiwa mahali popote na wakati wowote. Sifa na Vipengele Muhimu: โ€ข Kuongeza na Kupunguza Maandishi Inakuwezesha kurekebisha ukubwa wa maandishi ya wimbo kulingana na unavyotaka, kwa usomaji bora zaidi. โ€ข Kushiriki Nyimbo Unaweza kushiriki maneno ya wimbo na ndugu, jamaa, marafiki, au kikundi cha sifa kwa urahisi. โ€ข Muundo Rahisi na Safi App imetengenezwa kwa muonekano wa kisasa, rahisi kutumia, na usomaji ulio wazi. โ€ข Upatikanaji wa Haraka Nyimbo zimepangwa kwa namba na majina, hivyo ni rahisi kupata wimbo unaoutaka.

Released
June 25, 2024

2 years on Google Play

Version
1.4
Updated
Jan 19, 2026
Content Rating
Everyone
Installs
10,000+
Developer
spk
Website
http://simonkinyurumuongi.blogspot.com
Email
simonkinyuru@gmail.com
In-app purchases
No

This app isn't currently appearing in any tracked top charts.

Rating breakdown

5โ˜…
0
4โ˜…
0
3โ˜…
0
2โ˜…
0
1โ˜…
0